Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Leo katika pitapita zangu nikakutana na Baruan Muhuza mtangazaji wa BBC. Kilichonishangaza ni kuwa huyu jamaa yuko simple sana hana makuu, tofauti na nlivyo kuwa nafikiria awali kwamba labda atakuwa si mtu wa kujichanganya uswahilini kama nlivyo mkuta leo....
 
We unatokea mkoa gani? Dar mbona kila star unaemjua tunapigana nao vikumbo tu mitaani? Au we ndio Baruani mwenyewe..!
 
Mii mwenyewe juzi juzi tuu. kabla hajapanda chopa kwenda kukagua daraja na waathrika wa mafuriko kule moro.Mi Nimekutana nae the presdaa pale ferry akiwa kavaa Tracksuit,alitokelezeajeeee!!!! naamini alikuwa anachukua vibua.
 
Kijana acha kubabaikia watu,dar watu wote sawa, kwahiyo usimpigie magoti tena...
 
Mii mwenyewe juzi juzi tuu. kabla hajapanda chopa kwenda kukagua daraja na waathrika wa mafuriko kule moro.Mi Nimekutana nae the presdaa pale ferry akiwa kavaa Tracksuit,alitokelezeajeeee!!!! naamini alikuwa anachukua vibua.



Weka picha
 
Ka we ni mwanamke, inaonekana angekutongoza ungempa bure.
 
Reactions: dtj
Wengine wakipata umaarufu kidogo tu hata daladala hawapandi. Washakuwa ma-celebrity.
 
Kwa hiyo unataka tufanyeje. Siku ukimuona Barrack Obama si utazimia kabisa.
 
next time unakutana nae mchape swali hili: why most of bbc swahili news anchors/reporters are muslims?.
 

Mkuu home Idegenda nn?
 
We ulikuwa unadhani labda ungemkutaje?

Thread nyingine hazina hata makamatio.:ranger:
 
Huyo Baruani kwani ana nini!!???
Mbona juzi tu hapa akiwa RFA tumekula nae chipsi kavu mtaani.
 

Mpaka gongo anakunywa mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…