Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

ungepiga nae picha ukaweke chini ya mto wa kulalia.
 
next time unakutana nae mchape swali hili: why most of bbc swahili news anchors/reporters are muslims?.

Hahahahaha..udini huo unaleta japo hata mimi nlishanotice ila sidhan ka kunatatizo...labda imetokea tu
 
Reactions: dtj
hivi.bado kuna watu wanasujudia TITLE,?NADHAN NDO WALE WANAAMIN MKUBWA HAJAMBI
 
Hahahahaha..udini huo unaleta japo hata mimi nlishanotice ila sidhan ka kunatatizo...labda imetokea tu

charls hilary,mogera.odhiambo joseph.ann swai.mhando.mungi,komla.mackbul.stanly. hawa nao ni waislam acha udin
 
Nadhani ukikutana na Salim Kikeke utatamani kutoa t...a..k.o bila kuombwa
 

mimi nimikutana na Efulayimu Kibonde wa clauzi efuemu!
 
Ka we ni mwanamke, inaonekana angekutongoza ungempa bure.

vipi kwani wewe huwa unanunua? Dalili za udomo zege hizo, jifunze kuimbisha utakula bure kwa anaeuza na hata asieuza! Halafu zinazouzwa huwa hazina viwango!!
 
mkuu wa idhaa ya bbcswahili zamoyon mogela ni mwislam we kama hujui kaa kimya

zamoyoni mogella alikuwa ni forward hatari wa Simba na taifa stars miaka ya 80', sikuwa najua kuwa yuko BBC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…