Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
next time unakutana nae mchape swali hili: why most of bbc swahili news anchors/reporters are muslims?.

Hahahahaha..udini huo unaleta japo hata mimi nlishanotice ila sidhan ka kunatatizo...labda imetokea tu
mkuu wa bbc kiswahil anatukuza wadini wenzake...
Kijana acha kubabaikia watu,dar watu wote sawa, kwahiyo usimpigie magoti tena...
charls hilary,mogera.odhiambo joseph.ann swai.mhando.mungi,komla.mackbul.stanly. hawa nao ni waislam acha udin
Leo katika pitapita zangu nikakutana na Baruan Muhuza mtangazaji wa BBC. Kilichonishangaza ni kuwa huyu jamaa yuko simple sana hana makuu, tofauti na nlivyo kuwa nafikiria awali kwamba labda atakuwa si mtu wa kujichanganya uswahilini kama nlivyo mkuta leo....
Ka we ni mwanamke, inaonekana angekutongoza ungempa bure.
mkuu wa idhaa ya bbcswahili zamoyon mogela ni mwislam we kama hujui kaa kimya
mkuu wa idhaa ya bbcswahili zamoyon mogela ni mwislam we kama hujui kaa kimya
Komla alishafwariki.
Zamoyoni Mogela ndio mkuu wa idhaa ya bbcswahili??? Weka picha tumfahamu....