Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

Leo nimemuona Baruan Muhuza wa BBC

charls hilary,mogera.odhiambo joseph.ann swai.mhando.mungi,komla.mackbul.stanly. hawa nao ni waislam acha udin

he!hivi kumbe the late komla dumor alikuwa anaripotia upande wa bbc swahili!!?asante kwa kutufahamisha.
 
wapi picha?

1468495248454.jpg
 
pole mdau wa mkoani. huyo baruani na masupastaa wenzake wote tunapishana nao hapa dar kila siku ni wa kawaida tu hata salim kikeke so simple kumuona dar.
pole tena wa mkoa.
 
Mhhh na wewe acha ushamba, kwani Baruani Muhuza amekuwa Obama?mbona kika siku huwa anapendelea kula lunch pale Kinyaiya pubm Riverside
 
Karibu mjini kijana, ukirudi Shinyanga kawasimulie wasukuma wenzako
 
Namaki wakifika tabora wanasema uniite ee mwamba niite braza k na kwenye hirizi ni shida wanadai ni ulinzi shilikishi
 
Back
Top Bottom