kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 41
- 81
Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu.
Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona bado yupo imara.
Tena ametoa bonge la maoni juu ya maendeleo ya nchi Kwa Sasa.
Hii imedhihirisha bado kichwani hajateteleka pamoja na umri kuwa umeenda.
Mungu azidi kumbariki na kumpa maisha marefu.