Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Maicon alimhurumia Tegete asije akakatwa 20,000/- na TFF ndio maana aliikataa jezi yake.Kwenye mechi hiyo hiyo TEGETE alimfuata Maicon kumuomba jezi... Maicon akamuangalia Tegete kuanzia uu mpaka chini kisha akaivua na kumtupia Tegete! Tegete akaikotoka kwa furaha zote..akavua ya kwake ili ampe Maicon ila jamaa alikataa jezi ya Tegete..licha ya kwamba ile ilikuwa dharau kubwa ila si haba tegete alirudi na jezi mbili nyumbani siku ile