Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

Amen
 
Kuna ndoto za aina nne
1. Kuna ndoto ambazo ni ndoto tuu za brain relaxation
2. Kuna ndoto za imagination zinaitwa lucid dreams.
3. Kuna ndoto za ukweli za astral travel , ukilala usiku physical body ndio inakuwa imelala, astral body inaamka inatembea unashuhudia vitu kisha inarudi, ukiamka unadhani ulikuwa unaota, baada ya muda unaambiwa ukichoota kimetokea kweli
4. Kuna ndoto za maono, unanyooshwa vitu vitakavyokuja kutokea

Kifo ni just a change of state mtu anaondoka kwenye physical world kwa kufa na kuzikwa ila kinachokufa ni mwili tuu huu wa nyama, the spiritual body haifi, inahamia kwenye ulimwengu wa roho hivyo Magufuli yupo kwenye ulimwengu wa roho. Life after Death: What happens after death? hivyo Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie? unaweza pia kutembelea
Na kwa vile kuna wengi hawajui Magufuli yuko wapi saa hizi, naomba niwahakikishie Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
 
Ndoto ni matokeo ya ubongo kufanya imaginations au kumbukumbu ya kitu au tukio lililowahi kutokea. So there is nothing to be worried about.
Yes kwa ndoto za kawaida, lakini kwa ndoto za kweli na ndoto za maono ni unaoteshwa na kuonyeshwa vitu vya kweli.
P
 
L Hiyo yako ni ndoto tuu, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Ndoto za Nebkadneza hizi.
 
Mmmh!
Ngoja nipitie hizô !hizi Kwanza Mkuu
 
Ulimpenda.
Ukawa bond au tuseme mkawa damu damu.

Kufa means yale maono yake yamekufa, hayatakumbukwa milele.
 
Kuna kufa na kuingia kwenye umauti.

Unaweza ukafa uwe hujaingia kwenye umauti.
 
Ulimpenda.
Ukawa bond au tuseme mkawa damu damu.

Kufa means yale maono yake yamekufa, hayatakumbukwa milele.

Mimi na Magufuli Wapi na Wapi Mtani?
Sikuwa mshabiki WA jpm kutokana na baadhi ya tàbia Zake zilizopita kiwango.
 
Ndoto ni matokeo ya ubongo kufanya imaginations au kumbukumbu ya kitu au tukio lililowahi kutokea. So there is nothing to be worried about.
Bro bado kwako ndoto ni matokeo ya kufanya imagination au kumbukumbu!??
 
Halafu inadaiwa kwamba huko Radio Ngara,Mama Magufuli alisema Magufuli alichomwa sindano ya sumu.
Sijui kama Mama Janet alisema hivyo kweli,lakini ndiyo inavyosimuliwa.
Lakini hata kama alisema it does not prove anything.
Halafu lipo lile group la Gang of Ten,Msigwa alikuwepo kwenye lile group. They seemed to have a sinister purpose. Nawakumbuka wawili tu wengine. Wengine katika list walikuwa Dogo na Afande mmoja. Sijafanikiwa ku- recover yale majina yote. Maybe I should try again.
Lakini it is quite unnecessary kuwatafuta wengine kwa sababu Dogo na Afande,they are quite capable of swinging that thing.
 

Hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…