Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!