Leo nimemzaba vibao kaka wa kazini

Unipangie kitu ninacho kijua na kipi kwenye mikataba wazi kabisa kwamba ukipiga/pigwa ama kupigana ndani ya eneo la kazi unafukuzwa.
Ngoja nikupe mfano, kuna jamaa alikua OHSE manager, alipigana na Dr lfani.
Mwisho wote walifukuzwa.
Kuna levo za kufukuzwa kazi bro Ushimen

Imagine HR kapigana na mtunza garden ya ofisi, unadhani wote watafukuzwa?
 
Hasira ni hasara.
 
hao ni vibarua tu.hilo kosa moja kwa moja unaitwa hr mkamalizane
Punguza ujuaji kijana, tatizo lenu hamjapata exposure ya kufanya kwenye International Companies.
Kuna kampuni na baadhi ya mashirika kupigana eneo la kazi ipp kwenye "Cardinal Rules"
Kuna mashirika ama kampuni kama una rekodi ya kushtakiwa kwa kosa lolote na jamuuhuri tayari kwao wanaku disco.
 
Hongera kwa ujasiri wako.
 
Kuna mashirika ama kampuni kama una rekodi ya kushtakiwa kwa kosa lolote na jamuuhuri tayari kwao wanaku disco.
Ndivyo ilivyo hadi kesho. nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti moja ya kesi ngumu kutoboa ni kupigana hata GM huwa hasogelei hiyo kesho.Mengine utajua mwenyewe
 
Tunaomba mrejesho wa ulivoongea na bosi
 
Leo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Anywas......
Kwetu huku moja kati ya sheria za kazi ni......ukipigwa/ukipiga ama mkipigana na ikathibitika ni wote mnafukuza kazi na hakuna mjadala wala msamaha kwenye hilo.
Habari za Tabora chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…