chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Nipo hapa ndo natoka mzigoni mda huu naelekea nyumbani, nikifika nitazitafuna zote kwa pamoja kisha nikimaliza zoezi hili nitawaletea mrejesho hapa hapa
Haya ni madhara ya kula Big G kuna ishu unaweza pata inaitwa inflation ambayo inasababishwa na utokaji wa salivary amylase nyingi mkuu
View attachment 3557594
ni kwa mtazamo wako lakini watu wananitafuta kilasiku kuniomba ushauriDalili nyingne ya ugonjwa wa akili ni pamoja na hii aliyonayo mwandishi wa huu uzi
Ni mtu anatolewa..... Uchafu unaizalishwa na amylaseshii ni picha ya nin mkuu
mi nimeuliza ile picha ni ya kiungo gani cha mwili wa binadam, sijauliza ni kitendo gani kinaendelea😀Ni mtu anatolewa..... Uchafu unaizalishwa na amylases
Weee yaani mi kukwepa kote huko unataka kujua kiungo.. 😂😂😂mi nimeuliza ile picha ni ya kiungo gani cha mwili wa binadam, sijauliza ni kitendo gani kinaendelea😀
mbona ubolo kwa herufi kubwaaa🤭🤣🤣Weee yaani mi kukwepa kote huko unataka kujua kiungo.. 😂😂😂
Oky huo ni UBOLO
Umeniwahi kidogo nimwambie atume na picha kwa ushahidi😊Usisahau kupuliza maputo
Ila jamaa nae ajifunze kunyoa mavuzi, dah utadhani rastaHaya ni madhara ya kula Big G kuna ishu unaweza pata inaitwa inflation ambayo inasababishwa na utokaji wa salivary amylase nyingi mkuu
View attachment 3557594
Hakuna uliposema ya kiungo gani, umesema ya nini, hivyo ana haki ya kujibu alivyoelewa swali, japo jibu lake halitoshelezi. Hiyo inaweza kuwa ni process ya kutibu figo pia kwa kutumia camera. Besides, hakutarajia usijue ni picha ya kiungo ganimi nimeuliza ile picha ni ya kiungo gani cha mwili wa binadam, sijauliza ni kitendo gani kinaendelea😀
jamaa una akili kubwa sana ya kuchambua jambo na reasoning ya kipekee, nazani ulisomeaBinafsi nmemuelewa mtoa mada.
Big G hua zinaongeza njaa, Sasa mtoa mada ni kobaz hvy anataka kula hizo big G nyingi Ili njaa imshike vzr ili ale sana daku/futari.
C mnaona mada yenyewe imeandikwa muda wa kufungua 😂