Leo nimenunua Big G za elf 12, naenda kuzitafuna zote kwa pamoja

mi nimeuliza ile picha ni ya kiungo gani cha mwili wa binadam, sijauliza ni kitendo gani kinaendelea😀
Hakuna uliposema ya kiungo gani, umesema ya nini, hivyo ana haki ya kujibu alivyoelewa swali, japo jibu lake halitoshelezi. Hiyo inaweza kuwa ni process ya kutibu figo pia kwa kutumia camera. Besides, hakutarajia usijue ni picha ya kiungo gani
 
Binafsi nmemuelewa mtoa mada.

Big G hua zinaongeza njaa, Sasa mtoa mada ni kobaz hvy anataka kula hizo big G nyingi Ili njaa imshike vzr ili ale sana daku/futari.

C mnaona mada yenyewe imeandikwa muda wa kufungua 😂
jamaa una akili kubwa sana ya kuchambua jambo na reasoning ya kipekee, nazani ulisomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…