mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Whaatπ€π€π€!!Haya ni madhara ya kula Big G kuna ishu unaweza pata inaitwa inflation ambayo inasababishwa na utokaji wa salivary amylase nyingi mkuu
View attachment 3557594
Hakika anaweza kwenda mkuu-kwa akili hii ukiambiwa kuwa katafute katiba mpya kwenye duka la simu, anaweza shindwa kuenda?
ππππππ Kuna mada ya jamaa mlivamia aiseee nikasema hii jamaa michiziSio kweli mkuu, mm n mtu na heshima zangu
Acha uwoga mkuu ππππWhaatπ€π€π€!!
Inasikitisha sana mkuu πππππππ Kuna mada ya jamaa mlivamia aiseee nikasema hii jamaa michizi