Leo nimenunua maembe 3 kwa Sh. 10,000/- bila kupenda

Mkuu ulishalizwa nini? Tii sheria bila shuluti!!
 
Acha kulialia, maembe manne elf 10 siyo mbaya maana unaenda kujenga mwili..
 
Yuko sahihi kukuacha. Wewe ubatoa 10,000 kwa maembe ya shs 1,600 unaona sawa. Tunatakiwa kutoa fedha kulingana na ukubwa wa kitu.

Kutoa 10,000 kwa nauli ya daldala ya shs 450 sio sawa. Tafuta chenji kwanza. Konda akikusubirisha unalalamika.
 
Huku sisi twala ndoo ya dodo kwa 3,000/=! Pole sana, Tz kweli ni kubwa!
 
Yuko sahihi kukuacha. Wewe ubatoa 10,000 kwa maembe ya shs 1,600 unaona sawa. Tunatakiwa kutoa fedha kulingana na ukubwa wa kitu.
Kutoa 10,000 kwa nauli ya daldala ya shs 450 sio sawa. Tafuta chenji kwanza. Konda akikusubirisha unalalamika.
Siku yakikukuta usije ukatulilia humu! Huo ni wizi kama wizi mwingine!
 
Bado anatafuta change wewe ndiye umekosea kuondoka. Akifika atasikitika sana kukukosa
 
Pole na hongera kwa ujasiri wa kushea hii stori na wengine, maana baadhi ya watu hudhani wakisema ukweli watajidhalilisha. Hata hivyo si mbaya sana, umesaidia mzunguko wa fedha
 
Pole sana ndugu ,ila amini hivi mungu atakulipa ,hakuna kitu naogopa kumdhurumu MTU ambaye hujui hiyo hela kaipataje pataje
 
Mtaji wake mdogo kuliko alivyokuachia umwangalizie...hukuangalia thamani ya ulivyoachiwa kabla ya kumwamini...??!!
 
Former Prime Minister of the United Kingdom, Winston Churchill, once said: "I took taxi one day to the BBC office for an interview.
.
When I arrived, I asked the driver to wait for me for forty minutes until I got back, but the driver apologized and said, "I can't, because I have to go home to listen to Winston Churchill's speech".
.
I was amazed and delighted with the man's desire to listen to my speech! So I took out ten pounds and gave it to the taxi driver without telling him who I was. When the driver collected the money, he said: "I'll wait for hours until you come back sir! And let Churchill go to hell!".
.
You can see how principles have been modified against money; nations sold for money; honour for money; families split for money; friends separated for money; people killed for money; and people being made slaves to money.
 
Wadau mmenishambulia mpk nazidi kuikumbuka 10000 yangu
 
Hakwenda mbali, huwa wanakaa tu kwenye vibanda vya tigopesa/mpesa wakikuangalia uvumilivu wako.
Wapo wengi sana pale Zakhiem na Rangi Tatu.
Kuna mmoja alikimbiwa na 10,000/- hapo Zakhiem na Muuza korosho, jamaa akampigia simu jamaa yake akaja amevaa kanzu, wakaanza kuchoma ubani kwenye kimeza, mbona jamaa alijitokeza na chenji mkononi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hukuitaka hela yako, hata ukirudi kesho ukiwa na mtu amevaa kanzu na njiwa mmoja mweusi, aliyekimbia na chenji atajitokeza mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…