kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Mkuu ulishalizwa nini? Tii sheria bila shuluti!!Ni bora mwizi wa namna hii, kuliko yule anakuchukua, kisha anakuweka ndani, mwaka mzima, unateseka, huioni familia yako, unakula hovyo kisha unampa hela anayoitaka ndio anakuachia. Mwizi wa hivi ni mbaya, sbb anakuibia huku anakupora haki zako za kijamii na kibinadamu, ila huyo mwizi wako yeye anakuibia lakini hakuchukulii haki zako, si unaona time hii uko kwako!