Leo nimenusurika kifo

Leo nimenusurika kifo

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika.

Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji wakiniuliza wewe ni nani?
Bahati mbaya sana sikuwa na kitambulisho chochote.

Nikawaambia ila hapa nina wenyeji wangu ngoja nipige waje. Mwalimu xxxx akafika akawambia huyu namjua hana tabu. Shida ni kwamba kijiji jirani watoto wameuwawa na Figo zikatolewa kwa hiyo wakawa na hofu na mimi natoa Figo.

Isingekua wale walimu sijuani nao ilikua nazikwa leo. Huenda wapo wengi wameuwawa kwa kuhisiwa na Mob justice wakaua bila hatia. Nashukuru Mungu kwa hilo na pia nimejifunza kutembea na kitambulisho mda wote maeneo ya ugenini Ilibidi mtendaji awatulize raia wakamwelewa.

Mwenyekiti wa kijiji changu alifika kunichukua nikaondoka salama.
 
Hatari sana,Kuna mshkaji wangu mmoja(RIP) kipindi Iko bado napiga kitabu ye alipata shortcut(diploma) akapangiwa Mali asili Moja ya mbuga zetu, akaenda kuripoti kambini akaanza kazi, yupo na mwenzake wote wageni, kumbe Hio kambi ilikua Ina uhasama na Kijiji Cha jirani(wanakijiji walikua wanadai askari wa wanyamapori wanaua wanakijiji ovyo wakiwakukuta porini).... Kukawa na tension flani, huyu mshkaji wangu ye mgeni hajui Chochote....

Jioni wakawasha boda na mwenzake mgeni wakajimix kijijini na uniform zao kupata Moja mbili, aisee mob justice ni mbaya sana, waliuawa mikononi mwa wale wanakijiji siku io io....

Uzuri serikali nayo inajua kulinda heshima zake, ilipita operation hapo kijijini sio poa, hawawezi kurudia tena

Say no to mob justice, RIP jamaa yangu, ulikua bado mdogo sana you had a whole life ahead
 
Say no to mob justice, RIP jamaa yangu, ulikua bado mdogo sana you have a whole life ahead
Walinizunguka,bahati mbaya ni mgeni maeneo yale. Nimeenda hewani afu giant,mbaya zaidi piki piki ilikua na sime chakavu ya toka 2010 nilifunga kujilinda na wanyama wakali na dharura mbaya.
 
Pole sana mkuu. Hongera kwa kusalimika, nakujua uko giant, mrefu na mweusi.
Walivyoniona Giant hivi wakajua nimefika kutoa Figo za watu.
Hofu zaidi ni kwamba kuna watu wamepigwa na huenda wakafariki kwa kuhisiwa tu wanatoa Figo kijiji Xxxx.
Ni hatari kujichukulia sheria bila kupata taarifa kamili
 
Hatari sana,Kuna mshkaji wangu mmoja(RIP) kipindi Iko bado napiga kitabu ye alipata shortcut(diploma) akapangiwa Mali asili Moja ya mbuga zetu, akaenda kuripoti kambini akaanza kazi, yupo na mwenzake wote wageni, kumbe Hio kambi ilikua Ina uhasama na Kijiji Cha jirani(wanakijiji walikua wanadai askari wa wanyamapori wanaua wanakijiji ovyo wakiwakukuta porini).... Kukawa na tension flani, huyu mshkaji wangu ye mgeni hajui Chochote....

Jioni wakawasha boda na mwenzake mgeni wakajimix kijijini na uniform zao kupata Moja mbili, aisee mob justice ni mbaya sana, waliuawa mikononi mwa wale wanakijiji siku io io....

Uzuri serikali nayo inajua kulinda heshima zake, ilipita operation hapo kijijini sio poa, hawawezi kurudia tena

Say no to mob justice, RIP jamaa yangu, ulikua bado mdogo sana you had a whole life ahead
Say no to mob Justice
 
Mob justice sio poa ndo maana mimi huwa sishawishiki kupiga mwizi au mtu yoyote kwa mikumbo
Kuna mshikaji aliwahi kuitiwa mwizi na demu wake UDOM kule ng'ox haikuwa poa mpaka wanaomjua kufika alikua ashaguswa sana na raia
Lakini mimi mwenyewe niliwahi kujichanaganya singida niko nyingi kichwani pamoja na kutoa kitambulisho isingekua polisi ningekua sa hizi KWA MUNGU WA NETANYAHU
 
Back
Top Bottom