BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika.
Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji wakiniuliza wewe ni nani?
Bahati mbaya sana sikuwa na kitambulisho chochote.
Nikawaambia ila hapa nina wenyeji wangu ngoja nipige waje. Mwalimu xxxx akafika akawambia huyu namjua hana tabu. Shida ni kwamba kijiji jirani watoto wameuwawa na Figo zikatolewa kwa hiyo wakawa na hofu na mimi natoa Figo.
Isingekua wale walimu sijuani nao ilikua nazikwa leo. Huenda wapo wengi wameuwawa kwa kuhisiwa na Mob justice wakaua bila hatia. Nashukuru Mungu kwa hilo na pia nimejifunza kutembea na kitambulisho mda wote maeneo ya ugenini Ilibidi mtendaji awatulize raia wakamwelewa.
Mwenyekiti wa kijiji changu alifika kunichukua nikaondoka salama.