mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Tangawizi ya kutosha piaNa
Na chapati mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangawizi ya kutosha piaNa
Na chapati mbili.
Mimi sasa ndio naondoka na hawajarudi na huenda wasijue wamepotezea wapi hiyo hela.Wangerudi ningewapa na ndio maana sikuondoka mara baada ya kuiokota.Ila jamaa asingerudi ningekua nimeokota kama wewe😂😂😂
Salary Slip usijadiliane na Hilo limalaya la CCM mama DMimi sasa ndio naondoka na hawajarudi na huenda wasijue wamepotezea wapi hiyo hela.Wangerudi ningewapa na ndio maana sikuondoka mara baada ya kuiokota.
Fafanua.Zina majipu hizo
Hiyo elfu kumi kabidhi kaunta ,nenda na muhudumu mkaikabidhi,na uwaambue Kuna wateja wameidondosha.Kwa taarifa yako, mpaka muda huu niko hapa kwenye hii Bar jamaa hawajarudi na saa hizi naona meza zinazidi Kujaa tofauti na mida ile niliongea.
Kwa sasa sitegemei tena kama watarudi maana muda umeenda sana.
Hahahaaa!!Watanzania hawa wa nchi hii!!Hiyo elfu kumi kabidhi kaunta ,nenda na muhudumu mkaikabidhi,na uwaambue Kuna wateja wameidondosha.