Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mnasemaga wanajeshi wa Tanzanaia hawaruhusiwi kufuga ndevu? Wait…
Leo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu. Kitaalam imekaajeView attachment 2870043
Mkuu elewa kutenganisha kati ya parachuter na commando!!!Kitengo cha int na commando wanafuga ndevu. huyu si unaona ana kofia nyekundu, ni komando l
Labda ana tatizo la kiafyaMnasemaga wanajeshi wa Tanzanaia hawaruhusiwi kufuga ndevu? Wait…
Leo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu. Kitaalam imekaajeView attachment 2870043
Na pete wakati ameshika silahaLeo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu
Na pete wakati ameshika silaha
Hawa wa kibongo😄?Komandoo... huchukua wasifu mbalimbali.. babu kizee/ bibi kizee/ miss/ barmed ili mradi aweze- kucomplish mission!!!