Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

Huyo atakuwa mamluki, soja wa bongo na ndevu wapi na wapi?
 
Kuna wakati nipo kibiti kulikua na wanajeshi wa ajabu sana wanamarasta makubwa wengine wana dredi . Nikaja kuambiwa walikua ni special force ndo komandoo wanaitwa
 
Hawa wana kazi maalum, na wanaishi kama raia na wanajiweka sawa na raia mitaani, wengine wana rasta, midevu, nk.
Umeona hata kwenye parade kawekwa kikosi cha miwani" asionekane vizuri.
Labda wavuka mipaka kama Said Kalembo
 
Back
Top Bottom