Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

Unaambiwa hizo siyo ndevu ni rangi za kijeshi zinazopakwa usoni ili kuficha muonekano halisi wa commando awapo kazini (cammafradge)
 
Wakuu wa JWTZ suala la ndevu jeshini liangalieni upya askari ni usafi.
Hawa wana kazi maalum, na wanaishi kama raia na wanajiweka sawa na raia mitaani, wengine wana rasta, midevu, nk.
Umeona hata kwenye parade kawekwa kikosi cha miwani" asionekane vizuri.
 
Nimecheka sana, umenikumbusha Joke ya wanajeshi wenye ndevu.
 
Nimekumbuka mwaka fulani JKT kilikuja kikosi fulani cha walinda amani cha UN kambini kwetu kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho kuelekea Jamhuri ya Afrika ya kati....Majority walikuwa na madevu kabisaa tena walikuwa wanavaa na mavilemba kama Al shabab ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona mwanajeshi mwenye ndevu
 
Endelea kujifunza kuna mengi sana hapa duniani tofauti na yanavyoeleweka kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…