Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

Kuna wakati nipo kibiti kulikua na wanajeshi wa ajabu sana wanamarasta makubwa wengine wana dredi . Nikaja kuambiwa walikua ni special force ndo komandoo wanaitwa
Kibiti usizadharau mtu kina hadi ma barmaids maaskari
 
Delta force
Delta force ni zaidi ya komando wa kawaida , wale si watu WA kawaida ,huko US army ,marine na Navy kote kuna komando kama wale Navy seals, army rangers nk ila hawajafikia supremacy ya hawa viumbe wa delta force .
Acha kufananisha hawa viumbe wa delta force na takataka hizo za jeshi la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…