Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

Mmh. Itakuwa ndoto hii.

Mana amepataje ujasiri wa kukufuata mana kugeuka panya sio jambo dogo, hivyo hata hajahofia kama utamtangaza kama hivi ulivyofanya.
Kama aligeuka panya anashindwaje kufanya sura yake iwe ngeni kwako japo ni jirani yako tu hapo, unaweza ukaona ni mtu usiyemfahamu,
 
Ndo maana cie tunaambiwa, ukiona kitu ndan kwako ukitaka kukiua umlan shaitwan kwanza
 
Mmh. Itakuwa ndoto hii.

Mana amepataje ujasiri wa kukufuata mana kugeuka panya sio jambo dogo, hivyo hata hajahofia kama utamtangaza kama hivi ulivyofanya.

Hata mini nimeona ya firauni nikastaajabu ya Musa. Panya umtandike bakora!!? hawezi sogea hata hatua moja.
 
'tumpeleke mwema huyuuu, kwenye nyumba ya mileleee!'
 
mpe pole muulze hyo idea ya kujigeuza hamuwezi kwenda nayo bank mkarudi na mihela
 
Panya hutumiwa na wachawi.....
 
namtak huyo pany wa miujiz mana hta supu yake itakuwa ya miujiza inaweZ hata ponya ukimwi au nguv za kium
 
we jamaa ni muongo!!
 
Mtafute mshana jr kwa maelezo zaidi

Cc mshana jr
Nijuavyo mimi ni matukio yanayotokea usiku kizani, na kuna wakati huwa hata hatudhanii kabisa kama tulichokipa kichapo ni mnyama feki!
Mambo hujulikana asubuhi nyumba ya jirani ama fulani mtaani aidha anachechemea au ana bandeji kichwani au mkononi ama kavimba panapoonekana
Ukivuta kumbukumbu hisia zinakujia kwamba huyu ndie Yule panya ama paka wa usiku uliyemdabua kichwani mguuni mkononi nk
Dhihirisho zaidi ni kwamba hawezi kujieleza vema aliumiaje na atajitahidi mno kukukwepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…