tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
Kama aligeuka panya anashindwaje kufanya sura yake iwe ngeni kwako japo ni jirani yako tu hapo, unaweza ukaona ni mtu usiyemfahamu,Mmh. Itakuwa ndoto hii.
Mana amepataje ujasiri wa kukufuata mana kugeuka panya sio jambo dogo, hivyo hata hajahofia kama utamtangaza kama hivi ulivyofanya.