Haha me najifunza tu.....kujua kumbe kuna mambo ya ajabu dunia hiiUtasababisha nim mwagie mshana wa watu mafuta ya mbuzi katoliki.
Mbona umekuwa na interest sana na mambo ya juju??
Panya jeropanya buku au?
Your bodily strength is useless in confronting Satan,be strong in Jesus, otherwise..........Baada Ya Kumtandika Fimbo Chumbani Akakimbia Nje Huku Akichechemea Mara Nikasikia Mtu Anabisha Hodi Nilipokwenda Msikiliza Namkuta Mtu Flani Anachechemea Huku Akiniambia " Uumeona Ulivyoniumiza?" Akaondoka Huku Akilalamika.Nipo Njia Panda Lakini I'm Strong.
Tena ya rangiChai hii
Chai hii
Ni kwanini mlichukua maamuzi hayo Mkuu?Siku ya pili kuna mzazi alikuja shuleni amwombee ruhusa mwanae eti anaumwa anampeleka hospitali. Tukakomaa amlete tumwone. Akamleta amevunjika mkono wa kushoto. Maelezo ya kuvunjika yakawa tata. Alipobanwa mtoto akasema alinituma baba kwa mwalimu, yuleyule alikopigwa bundi. HAYA YAPO HASA HUKU BUSH.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mods piga ban huyu, kwanini awahi siti ya mwenzake.
Duk ilo tom mzee bb[emoji119]MSUBA...
Furaha yangu kukuona na furaha.nijalie hali yakoAbeee
nimependa tu hizo fontsungemuuliza kwani wewe ni panya?
akikubali unamwambia mi siamini nisubiri hapo,unaingia ndani unamchanganyia dagaa na sumu ya panya kisha unamuambia ale ili uprove kama ni kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] panya wanaongea.ungemuuliza kwani wewe ni panya?
akikubali unamwambia mi siamini nisubiri hapo,unaingia ndani unamchanganyia dagaa na sumu ya panya kisha unamuambia ale ili uprove kama ni kweli
Yaani hiyo "Abeee" naomba uiseme kwa kudeka tukiwa wote kitandani nitafurahi [emoji2] [emoji2] [emoji2]Abeee