Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

Utasababisha nim mwagie mshana wa watu mafuta ya mbuzi katoliki.
Mbona umekuwa na interest sana na mambo ya juju??
Haha me najifunza tu.....kujua kumbe kuna mambo ya ajabu dunia hii
 
Baada Ya Kumtandika Fimbo Chumbani Akakimbia Nje Huku Akichechemea Mara Nikasikia Mtu Anabisha Hodi Nilipokwenda Msikiliza Namkuta Mtu Flani Anachechemea Huku Akiniambia " Uumeona Ulivyoniumiza?" Akaondoka Huku Akilalamika.Nipo Njia Panda Lakini I'm Strong.
Your bodily strength is useless in confronting Satan,be strong in Jesus, otherwise..........
 
Siku ya pili kuna mzazi alikuja shuleni amwombee ruhusa mwanae eti anaumwa anampeleka hospitali. Tukakomaa amlete tumwone. Akamleta amevunjika mkono wa kushoto. Maelezo ya kuvunjika yakawa tata. Alipobanwa mtoto akasema alinituma baba kwa mwalimu, yuleyule alikopigwa bundi. HAYA YAPO HASA HUKU BUSH.
Ni kwanini mlichukua maamuzi hayo Mkuu?
 
Pole sana mkuu, nadhani ni njaa tu iliyopo mtaani. Kwani kwenye boksi uliweka nini?? Nadhani pia alikosa msosi akaona isiwe tabu bora atafune boksi tu.
 
MSUBA...
9393370_orig.jpg
Duk ilo tom mzee bb[emoji119]
 
ungemuuliza kwani wewe ni panya?
akikubali unamwambia mi siamini nisubiri hapo,unaingia ndani unamchanganyia dagaa na sumu ya panya kisha unamuambia ale ili uprove kama ni kweli
nimependa tu hizo fonts
 
ungemuuliza kwani wewe ni panya?
akikubali unamwambia mi siamini nisubiri hapo,unaingia ndani unamchanganyia dagaa na sumu ya panya kisha unamuambia ale ili uprove kama ni kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] panya wanaongea.
 
Back
Top Bottom