Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kabisa, watu akili kama zako mmeongezeka sana humuMuda si mrefu JF hasa Jukwaa la Siasa halitakuwa tofauti na Facebook!
Sawa kabisa!Kabisa, watu akili kama zako mmeongezeka sana humu
ok.🐒Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba ndugu/marafiki/wazazi/watoto/wapenzi wao.
Mtu fudenge alidhihaki na kusema eti kifo ni kifo tu watu wasizue taharuki.
Hatimaye yamemkuta mtu fudenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣