Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vipi!!
Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi siyo muuminu wake, wala siyo mfuasi wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana naye zaidi wakati naangalia mitandao Millard Ayo akapost clip yake watu wakiwa pale kwake ila sijaingalia sana hiyo clip.
Usiku huu naota naongea naongea naye na namuelezea tatizo langu fulani. Na baada ya kumuulezea nikamuona dada mmoja kampa kama jani fulani kisha, GeorDevi akaniwekea mdomoni halafu lile jani likaingia mwilini mwangu kumuijiza kisha nikasikia hali fulani imenipata kisha nikastuka usingizini.
Nikajiuliza inakuwaje namuota mtumishi ambaye sijawahi kumuwazia kukutana naye?
Kama kuna mtu ameshawahi kumuota mtumishi ambaye hajawahi kukutana na wala kutamani hivyo to share.