Leo nimeota nipo na Nabii GeorDevi

Leo nimeota nipo na Nabii GeorDevi

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi!!

Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi siyo muuminu wake, wala siyo mfuasi wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana naye zaidi wakati naangalia mitandao Millard Ayo akapost clip yake watu wakiwa pale kwake ila sijaingalia sana hiyo clip.

Usiku huu naota naongea naongea naye na namuelezea tatizo langu fulani. Na baada ya kumuulezea nikamuona dada mmoja kampa kama jani fulani kisha, GeorDevi akaniwekea mdomoni halafu lile jani likaingia mwilini mwangu kumuijiza kisha nikasikia hali fulani imenipata kisha nikastuka usingizini.

Nikajiuliza inakuwaje namuota mtumishi ambaye sijawahi kumuwazia kukutana naye?

Kama kuna mtu ameshawahi kumuota mtumishi ambaye hajawahi kukutana na wala kutamani hivyo to share.
 
Hapo vip!!
Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi sio muuminu wake,wala sio follower wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana naye zaidi wakati naangalia mitandao Millard Ayo akapost clip yake watu wakiwa pale kwake ila sijaingalia sana hiyo clip.

Usiku huu naota naongea naongea naye na namuelezea tatizo langu fulani.Na baada ya kumuulezea nikamuona dada mmoja kampa kama jana fulani kisha,GeorDevi akaniwekea mdomoni alafu lile jani likaingia mwilini mwangu kumuijiza kisha nikasikia hali fulani imenipata kisha nikastuka usingizini

Nikajiuliza how came namuoto mtumishi ambaye sijawahi kumuwazia kukutana naye

Kama kuna mtu ameshawahi kumuoto mtumishi ambaye hajawahi kukutana na wala ku wish hivyo to share.
Peleka huko marketing yako ! Hapa jukwaa hili tunajitambua
 
NDOTO ni muunganiko wa picha unazoziona mchana.
Wala usiogope hamna kitu hapo.
Au kile kitu unachokiwaza.
Nitakupa mfano Mimi nilikuwa nauza duka Kuna majanga yakanitokea nikafukuzwa kazi .kea kuwa ile kazi bado ipo akilini mwangu Kuna wakati naota nimerudi dukani nawahudumia wateja na sio ndoto ya Mara Moja au Mara mbili.kwa kuwa najua shida Nini uwa sizipi maanani sana.
Uwa Nina kauli moja naamini.SIIAMINI NDOTO MPAKA ITOKEE KWELI
 
Hapo vip!!
Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi sio muuminu wake,wala sio follower wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana naye zaidi wakati naangalia mitandao Millard Ayo akapost clip yake watu wakiwa pale kwake ila sijaingalia sana hiyo clip.

Usiku huu naota naongea naongea naye na namuelezea tatizo langu fulani.Na baada ya kumuulezea nikamuona dada mmoja kampa kama jana fulani kisha,GeorDevi akaniwekea mdomoni alafu lile jani likaingia mwilini mwangu kumuijiza kisha nikasikia hali fulani imenipata kisha nikastuka usingizini

Nikajiuliza how came namuoto mtumishi ambaye sijawahi kumuwazia kukutana naye

Kama kuna mtu ameshawahi kumuoto mtumishi ambaye hajawahi kukutana na wala ku wish hivyo to share.
Umeota anakugegeda na pesa ya kuhonga hajakupa?
 
Dah ndoto hizi! Nakumbuka nishawahi kuota nagombana na Mwamposa, hadi leo sielewi ile ndoto ilimaanisha nini!
 
Hakuna nabii wa kweli hapo, nenda kakutane na Agent wa shetani tu
 
Ndoto tu hyo bhan usiogope Kama itajirudia njoo sas andika uzi
 
Umeota anakugegeda na pesa ya kuhonga hajakupa?
We shogo muda wote unawaza kufumuliwa hayoo mavi yako..laana ibilisi mweusi.sio lazima ucoments kama akili yako inanuka mavi na ngono muda wote.
 
Back
Top Bottom