Carina
Senior Member
- Jan 4, 2011
- 194
- 70
Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa.
Nilikuwa sijui kama ndio hivyo.
Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha akaniambia umepita Zebra bila kusimama.
Nikasema nimepunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa. Traffic akaniambia ilitakiwa usimame kabisa.
Daah nikachoka kabla sijakaa vizuri akanitwanga na cheti 30K hii hapa kalipe. Hivyo ndugu zangu kuweni makini na Zebra.
Hii ni Dar es Salaam.
Nawasilisha.