Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Hapo kutakuwa na T vilevile, uangalie kushoto na kulia kabla ya kuingia njia kuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kutakuwa na T vilevile, uangalie kushoto na kulia kabla ya kuingia njia kuu.
Sio sahihi unachosema, zebra crossing inatakiwa uaimame kama kuna watu wa kuvuka tu n si vinginevyo, maana utasababisha traffic jam isiyo ya lazima.Traffic yupo sawa ndivyo ulitakiwa kufanya. Kwa nchi zilizo endele ulitakiwa hata kama hujaona mtu lazima usimame hapo tema kama mtu anapita unatakiwa umsubiri mpaka amalize kupita ndio wewe nawe upite
kibongo bongo kuna ujinga mwingi wa maderewa kupigia honi wapita njia waharakishe kuvuka ili nao waendelee na safari zao, hili nalo ni kosa
Kwenye stop sign vivyo hivyo unatakiwa usimame hata kama hakuna kitu mbele yako.. ukitoka nje wa bongo ukaangalia maderewa wa bongo utakuja kujua bongo hakuna kufuata sheria katika usalama wa barabara
Kuna zebra corssings pia zina alama hiyo; inategemea hiyo iliyohusika ikoje. Alama ya STOP inaweza kuonyeshwa kwa namna kadhaa kama ifuatavyoHii ni sawa. Ila zebra hulazimiki kusimama kama hakuna anaevuka au anaetaka kuvuka.
Za Bongo hazina hio alama.Kuna zebra corssings pia zina alama hiyo; inategemea hiyo iliyohusika ikoje. Alama ya STOP inaweza kuonyeshwa kwa namna kadhaa kama ifuatavyo
View attachment 3065015
View attachment 3065016
Hio kusimama na kuwasha hazard ndio upuuzi walioleta askari wasiojua wanachofanya.Kuna mistari unayokuta mwanzoni mwa zebra crossing ya aina mbili mkuu,
1 ) unakuta kuna mstari mweupe umekatika katika (ambao umeachanishwa na uwazi; kati ya mstar na mstari)..aina hii unapunguza mwendo kama hakuna tukio unapita
2) unakuta mstari mweupe umenyooka haujakatika katika ; aina hii unatakiwa usimame kidogo na kuwasha double hazard kama hakuna tukio unasepa.
Nijuavyo mimi kwa Tz,mala nyingi unatakiiwa uwe kwenye spidi si zaidi ya km 30/kwa saa,kama hakuna mtu anayevuka kwa wakati huo,na sio kusimama.Traffic yupo sawa ndivyo ulitakiwa kufanya. Kwa nchi zilizo endele ulitakiwa hata kama hujaona mtu lazima usimame hapo tema kama mtu anapita unatakiwa umsubiri mpaka amalize kupita ndio wewe nawe upite
kibongo bongo kuna ujinga mwingi wa maderewa kupigia honi wapita njia waharakishe kuvuka ili nao waendelee na safari zao, hili nalo ni kosa
Kwenye stop sign vivyo hivyo unatakiwa usimame hata kama hakuna kitu mbele yako.. ukitoka nje wa bongo ukaangalia maderewa wa bongo utakuja kujua bongo hakuna kufuata sheria katika usalama wa barabara
Basi njaa za trafikiHakuna taa
Zebra ikiwa imeandikwa stop lazima usimame.Ikiwa haijaandikwa stop spidi isizidi 20Hii ni sawa. Ila zebra hulazimiki kusimama kama hakuna anaevuka au anaetaka kuvuka.
Tatizo lenu madereva daladala huwa mnajiamuliaga tu mambo hapo unakuta kulikua na mwanafunzi anatakiwa aende shuleAisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa.
Nilikuwa sijui kama ndio hivyo.
Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha akaniambia umepita Zebra bila kusimama.
Nikasema nimepunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa. Traffic akaniambia ilitakiwa usimame kabisa.
Daah nikachoka kabla sijakaa vizuri akanitwanga na cheti 30K hii hapa kalipe. Hivyo ndugu zangu kuweni makini na Zebra.
Hii ni Dar es Salaam.
Nawasilisha.
Ni kweli sheria hiyo ipo, lakini kwa Dar siyo applicable, nimeshangaa sana uliposema ni Dar.Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa.
Nilikuwa sijui kama ndio hivyo.
Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha akaniambia umepita Zebra bila kusimama.
Nikasema nimepunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa. Traffic akaniambia ilitakiwa usimame kabisa.
Daah nikachoka kabla sijakaa vizuri akanitwanga na cheti 30K hii hapa kalipe. Hivyo ndugu zangu kuweni makini na Zebra.
Hii ni Dar es Salaam.
Nawasilisha.
Ulaya ipi hiyo ambayo wanasimama kwenye zebra hata kama hakuna watu? Wao husimama kukiwa na watu.Traffic yupo sawa ndivyo ulitakiwa kufanya. Kwa nchi zilizo endele ulitakiwa hata kama hujaona mtu lazima usimame hapo tema kama mtu anapita unatakiwa umsubiri mpaka amalize kupita ndio wewe nawe upite
kibongo bongo kuna ujinga mwingi wa maderewa kupigia honi wapita njia waharakishe kuvuka ili nao waendelee na safari zao, hili nalo ni kosa
Kwenye stop sign vivyo hivyo unatakiwa usimame hata kama hakuna kitu mbele yako.. ukitoka nje wa bongo ukaangalia maderewa wa bongo utakuja kujua bongo hakuna kufuata sheria katika usalama wa barabara
Kwaiyo traffic kampiga fain kimakosa kwa haya maelezo yakoUlaya ipi hiyo ambayo wanasimama kwenye zebra hata kama hakuna watu? Wao husimama kukiwa na watu.