Nashengena JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,913 Reaction score 5,318 Aug 9, 2024 #41 The Knowledge Seeker said: Kwaiyo traffic kampiga fain kimakosa kwa haya maelezo yako Click to expand... Yes, hivi kila gari ikisimama kwenye zebra bila hata kuona watu si kutakuwa na mifoleni kibao
The Knowledge Seeker said: Kwaiyo traffic kampiga fain kimakosa kwa haya maelezo yako Click to expand... Yes, hivi kila gari ikisimama kwenye zebra bila hata kuona watu si kutakuwa na mifoleni kibao
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Aug 9, 2024 #42 Nashengena said: Yes, hivi kila gari ikisimama kwenye zebra bila hata kuona watu si kutakuwa na mifoleni kibao Click to expand... Hivi kila gari likisimama kwenye mataa pale palipokuwa na ishara nyekundu ya taa si kutakuwa na mifoleni kibao
Nashengena said: Yes, hivi kila gari ikisimama kwenye zebra bila hata kuona watu si kutakuwa na mifoleni kibao Click to expand... Hivi kila gari likisimama kwenye mataa pale palipokuwa na ishara nyekundu ya taa si kutakuwa na mifoleni kibao