U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 May 19, 2024 #1 Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 May 19, 2024 #2 Ok kama unajisikia vizuri hiyo ndio muhimu pasi na kujali vipimo vimekwambiaje
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 19, 2024 #3 Formula mpya wanaweka na umri na gender. Ideal Weight Calculator