Leo nimepita maeneo ya Muhimbili Hospital nimenunua barakoa

Mkuu wewe sio mtanzania nini? Hilo jibu mbona limejitosheleza kabisa sababu ni kitu kinachojilaka wazi kwenye jamii ya watanzania.
 
Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji.

Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe.

Nikamuuliza mkono wake una tatizo gani?

Akasema,"Mdudu".

Nikamuuliza,"Mdudu,vipi"?

Akasema,"Mdudu maana yake mkono unavimba,unapata kidonda,halafu ukipona mambo yanakuwa sawa."
Yaani just like that huyu mwanamke ananijibu,"Mdudu"----such a careless reply. Yule mwanamke siyo muuguzi,naona amevaa kiraia tu.

What I noticed ni kwamba toka ulipokuja uongozi wa Profesa Janabi,vijana wengi kule nje waliokuwa wanauza barakoa wamefukuzwa ili hospitali ichukue responsibility kwa kila barakoa inayouzwa pale. Inakuaje sasa mtu ananiuzia barakoa anasema,"Mdudu"?

You understand what I am driving at, I hope. Mi nautilia mashaka uongozi wa Prof Janabi. Au labda hiyo ni extreme statement. Niseme tu mimi nasikitika kwamba yule mwanamke ameniamibia,"Mdudu".
Kwani wauza barakoa ni manesi na madaktari muhimbili
 
Huwezi kuamini, sijaelewa
 
Uzi hauna muunganikoa kabisa. Janabi anahisiana vipi na uuzaji barakoa na mtu mwenye mdudu?!
 
Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji.

Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe.

Nikamuuliza mkono wake una tatizo gani?

Akasema,"Mdudu".

Nikamuuliza,"Mdudu,vipi"?

Akasema,"Mdudu maana yake mkono unavimba,unapata kidonda,halafu ukipona mambo yanakuwa sawa."
Yaani just like that huyu mwanamke ananijibu,"Mdudu"----such a careless reply. Yule mwanamke siyo muuguzi,naona amevaa kiraia tu.

What I noticed ni kwamba toka ulipokuja uongozi wa Profesa Janabi,vijana wengi kule nje waliokuwa wanauza barakoa wamefukuzwa ili hospitali ichukue responsibility kwa kila barakoa inayouzwa pale. Inakuaje sasa mtu ananiuzia barakoa anasema,"Mdudu"?

You understand what I am driving at, I hope. Mi nautilia mashaka uongozi wa Prof Janabi. Au labda hiyo ni extreme statement. Niseme tu mimi nasikitika kwamba yule mwanamke ameniamibia,"Mdudu".
Wewe ni wakuja hapa Dar,isingekuwa hivyo,ungejua mdudu maanbyake nini
 
Usikwazike kwa mambo madogomadogo bhana,easy....easyyy
 
Hahaha kwani mkuu wewe unamjua mdudu yupi na yupi na kwani iyo barakoa siumesema uliitoa kwenye pakti mpya tena ukaitoa wewe mwenyewe sa apo tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom