torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Apr 20, 2016 #61 Wonderful said: Tarime..... Click to expand... teh teh!! bas nimepata jibu
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Apr 20, 2016 Thread starter #62 cj21125 said: Hivi mtu akiwa anaishi kwenye hiyo mitaa uliyopiga picha halafu akiulizwa na watu wa mikoani anakoishi atathubutu kusema anaishi Dar? Click to expand... Ila ule mtaa wa Mitungi na Colombia Street ilinibidi nipite kikakamavu zaidi, maana hayo majina ya mitaa hiyo yalihatarisha amani ya moyo wangu, nikahisi humu wazee wa "ngada" hawakosekani.
cj21125 said: Hivi mtu akiwa anaishi kwenye hiyo mitaa uliyopiga picha halafu akiulizwa na watu wa mikoani anakoishi atathubutu kusema anaishi Dar? Click to expand... Ila ule mtaa wa Mitungi na Colombia Street ilinibidi nipite kikakamavu zaidi, maana hayo majina ya mitaa hiyo yalihatarisha amani ya moyo wangu, nikahisi humu wazee wa "ngada" hawakosekani.