Leo nimepoteza baba yangu wa mtandaoni Gonzale Lira

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373


Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana.

R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red Pill, moja ya video zake ni kama
1. Be strategic in your living
2. Picture the man you want to be.
3. Money changed everything


View: https://youtu.be/tROxHX0pi2w?si=CrfURsv8TeKSnyYh
Amefia gerezeni Ukraine,

BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na lihimidiwe.
 
Duu kafariki lini? Alijichanganya kuingia kwenye mambo ya siasa, he was good in couching
 
Haya ya kumpa shukurani kwa kutwaliwa kutokea mikononi mwa watesi "kwenye viroba style" ni kutomtendea haki bwana.
 
Alikosea kubaki Ukraine huku akiikosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…