mwakavuta
Member
- Sep 22, 2020
- 99
- 306
Hii kitu imenishangaza sana leo nina miaka miwili mahali ninapoishi.
Mara nyingi ninapotoka kwenda kwenye mihangaiko yangu napenda kuvaa kiofisi kila siku. Ajabu leo wakati natoka nyumbani kuna bodaboda amenikazia sana kuwa mimi ni usalama kila nikimbishia hakukubali kabisa ilibidi nikubali yaishe.
Hili jambo limenistaajabisha sana maana hadi ameamua kuniambia ina maana ni jambo wanaloliongelea sana.
Wakuu hivi hili jambo haliwezi kuwa na hatari kwenye usalama wangu?