Leo nimeshangaa kuitwa Usalama wa Taifa

Leo nimeshangaa kuitwa Usalama wa Taifa

mwakavuta

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
99
Reaction score
306
Hii kitu imenishangaza sana leo nina miaka miwili mahali ninapoishi.

Mara nyingi ninapotoka kwenda kwenye mihangaiko yangu napenda kuvaa kiofisi kila siku. Ajabu leo wakati natoka nyumbani kuna bodaboda amenikazia sana kuwa mimi ni usalama kila nikimbishia hakukubali kabisa ilibidi nikubali yaishe.

Hili jambo limenistaajabisha sana maana hadi ameamua kuniambia ina maana ni jambo wanaloliongelea sana.

Wakuu hivi hili jambo haliwezi kuwa na hatari kwenye usalama wangu?
 
Si kwamba wewe ndo unajifananisha nao? Kama Kuna bodaboda kweli atakua alipotea njia tu
Hapana mkuu sijawahi kijifananisha huyu jamaa licha ya kuwa bodaboda mm ni mteja wake mkubwa gengeni kwake tunapiga stori mbili tatu kila siku lakini leo kanibadilikia sana na yuko serious.
 
Simple, hupendi kuishi maisha yako.
Hebu anza sasa kuishi katika uhalisia wako uone nani atakuita hivyo??
mkuu haya ndo maisha yangu nayafurahia ila nashindwa kujua nimehusianishwaje na usalama wa taifa.
 
Kashakutia nuksi huyo, yaani ina maana tabia zako zinafanana na za watu wale, pole sana
 
Hii kitu imenishangaza sana leo nina miaka miwili mahali ninapoishi.

Mara nyingi ninapotoka kwenda kwenye mihangaiko yangu napenda kuvaa kiofisi kila siku. Ajabu leo wakati natoka nyumbani kuna bodaboda amenikazia sana kuwa mimi ni usalama kila nikimbishia hakukubali kabisa ilibidi nikubali yaishe.

Hili jambo limenistaajabisha sana maana hadi ameamua kuniambia ina maana ni jambo wanaloliongelea sana.

Wakuu hivi hili jambo haliwezi kuwa na hatari kwenye usalama wangu?
Kwani unaogopa Afsa??
 
Back
Top Bottom