Leo nimeshangaa kujua kuwa mwanzilishi wa Apple ni Mwarabu

Siria, Lebanon Jordan, Israel sio Waarabu. Hata wanaojiita Wapalestina sio waarabu ndio maana waarabu huwa hawawasaidii.
Syria,lebanon sio waarabu ni watu gani?
kwani Waarab ni kabila au nini?
Kwan P Diddy ni muafrika?
 
Shangaa pia kwanba Stev Jobbs alikuwa choko
 
Ikiwa mtu hajui kitu hakuna zuio la kuuliza kwa wanaojua. Muda mwengine mtu unaweza kuonekana punguani kwa kujitia ujuaji kumbe zwazwa!! Eti WASIRIA SIO WAARABU, kwani waarabu ni akina nani ikiwa hata Wasomali ni jamii za kiarabu.
 
Middle east wasyria ni Moja ya jamii za watu wenye maarifa sana ndio maana hata wakati wa machafuko Kila nchi ikiongozwa na German walikuwa wanawakaribisha
Tanzania ikichafuka tutafika humu humu sioni wa kutupokea
 
Vipi F

Wapumbavu sana
Hivi hata hamjionei huruma , yani steve jobs kuwa muarabu wewe huku unachukia na kufikia hadi kutukana ,kwa chuki hizo si mnajitafutia kufa mapema tu maana kuna vitu huwezi kuvibadilisha hapa duniani utajiumiza bure tu
 
Siria, Lebanon Jordan, Israel sio Waarabu. Hata wanaojiita Wapalestina sio waarabu ndio maana waarabu huwa hawawasaidii.
Lebanon na baadhi ya Syria hawataki kabisa kuitwa Waarab wako kama Wasomali wanavyokataa kuwa ni Waafrica.

Misri nako wale Coptic hawataki kuitwa Waarab na kuna trend Morocco na Algeria wale Berbers hawataki kuitwa waarab wanasema wao ni Berbers.
 
Chanzo ni kwamba Mama yake Jobs aitwaye Bi. Schieble alipewa ujauzito na Mtu aitwaye Jandali, tatizo likaja kwenye dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…