Leo nimeshangaa kujua kuwa mwanzilishi wa Apple ni Mwarabu

Leo nimeshangaa kujua kuwa mwanzilishi wa Apple ni Mwarabu

Wengi wenu hamjui waarabu ni watu gani. Mtu akiwa muislamu tu mbamuita Mwarabu. Wasiria sio waarabu. Waarabu ni Saudi Arabia UAE na Qatar. Misri, Moroko, Libya, Algeria nk bi mchanganyiko wa Mwarabu na Mwafrika.
Uarabu ni utamaduni sio race.. Yaan hakuna race inaitwa muarabu kama ilivyo kwa mweusi, mlatino, Asian au Black..mfano watu wa Morocco, Algeria wana asili au muonekano sawa na watu wa Hispania, Ureno na nchi nyingine kadhaa lakini tendency yao ya kufuata mila na tamaduni za kiarabu ndio maana wanaitwa warabu hii yote ilitokana na utawala wa kiarabu (Caliph) kutawala maeneo hayo na Uhispania, lakini Wahispania wao baadae waliukataa utamaduni wa kiarabu na wakavunja misikiti na kutokomeza kabisa uarabu

Mfano mwingine.. Mauritania, Sudan ni mojawapo ya nchi zinazofahamika kama za kiarabu, lkn watu wake ni weusi sio kama waarabu wa UAE, OMAN n. K. Lakini kwakuwa wanafuata utamaduni wa kiarabu wanawekwa kwenye Arab League ingalikuwa ngozi zao ni nyeusi
 
Back
Top Bottom