Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka.

Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies.

Yaani wewe ni ngekewa hasa!
 
Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka.

Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies.

Nimemfuata sister na kumuuliza kwa nini anafanya mambo ya kiwaki? Je akifukuzwa pale home itakuaje? Sisi wengine tutaenda ishi wapi? Mtu anataka haki yake ya ndoa. Si apewe tu namwambia hivyo eti ananijibu...

Daaah... Nlimfuata nimewaka hasira natetema hivi kama Mayele na kutaka mwasha mbata za ukweli au hata ngemgonga vichwa kadhaa kumtia akili sawa.

Shem alikuja sebuleni akakuta huo mgogoro. Ikabidi sister aondoke kwenda chumbani kwao. Maana ananijua mi sinaga masikhara toka akiwa mdogo nlikuwa namwasha mbata akileta ujuaji.

Yaani wanawake wa siku hizi sijui wamekumbwa na nini. Hawaheshimu kabisa ndoa zao na waume zao. Wabishi kama nini sijui. Nimewaacha huko room wanarekebisha nadhani. Nmebaki sebuleni nicheck check movies nikitafuta usingizi.

Nadhani shemu atakuwa sasa ameona umuhimu wangu hapa kwake. Na kesho hatosahau na kuondoka na remote. Binadamu tunategemeana sana. Hatujui tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo kwenye remote, daah
 
Unaleta ubabe kwene nyumba za watu na hata huoni aibu, tafuta kwako.
 
Hahahaaaaaa kwahiyo wewe kwa dada yako kazi yako nikuckiliza wanayofanya chumbani na mumewe ndicho kimekupeleka huko [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] duuuu[emoji1787]
 
Ka
Umemtendea haki Dada yako kunusuru ndoa yake.

Hao wapuuzi wanaojifanya wanakucheka wapotezee maana maisha yetu ya Africa hujulikana jinsi tunavyotegemeana hasa kiutamaduni tokana na extended families.
Kabisa Jo.... Ana leta mambo ya kwenye sinema huku Afrika
 
Nahisi huyu mwamba siku mkimuona live hamtaamini!
Yawezekana hafanani kabisa na hizi mada zake na unaweza kuta ni mtu independent na successful sema kwenye muda wa kupumzika ndiyo huwa anaandika upuuzi achangamshe genge [emoji1][emoji1][emoji1]
Hamna kitu jamaaa yangu. Sema nyie wengine ndo mpo vizuri humu JF. Sisi wengine tunaishi na dada zetu kwa shemeji zetu. Tunavumilia mengi.
 
Ila wewe bwege mwanzo mwisho, yaani unasikiliza hadi hayo,

Mkikua mkapange
 
Daaah! nimecheka sanaa. Sister akifukuzwa huna pakwenda, yaani wote mmeolewa[emoji1787]
Hata me najiuliza nakushangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu nisamee
 
Yaani mwanaume kabisa rijali unawezaje kuandika kitu Kama hiki?hata Kama Ni utani au umeamua kufurahisha kijiwe this is big No, wewe unaweza mlala dada yako haki Tena!huna maadili kabisa
 
Wewe umewahi lalwa na kaka yako? Huo ni uzoefu wako si lazima kila mwanamke apitie.
 
Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka.

Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies.

Nimemfuata sister na kumuuliza kwa nini anafanya mambo ya kiwaki? Je akifukuzwa pale home itakuaje? Sisi wengine tutaenda ishi wapi? Mtu anataka haki yake ya ndoa. Si apewe tu namwambia hivyo eti ananijibu...

Daaah... Nlimfuata nimewaka hasira natetema hivi kama Mayele na kutaka mwasha mbata za ukweli au hata ngemgonga vichwa kadhaa kumtia akili sawa.

Shem alikuja sebuleni akakuta huo mgogoro. Ikabidi sister aondoke kwenda chumbani kwao. Maana ananijua mi sinaga masikhara toka akiwa mdogo nlikuwa namwasha mbata akileta ujuaji.

Yaani wanawake wa siku hizi sijui wamekumbwa na nini. Hawaheshimu kabisa ndoa zao na waume zao. Wabishi kama nini sijui. Nimewaacha huko room wanarekebisha nadhani. Nmebaki sebuleni nicheck check movies nikitafuta usingizi.

Nadhani shemu atakuwa sasa ameona umuhimu wangu hapa kwake. Na kesho hatosahau na kuondoka na remote. Binadamu tunategemeana sana. Hatujui tu.
Kumbe ulikuwa unataka sister apigwe fimbo ili shemeji asahau kuondoka na remote.
 
Hama hapo
 
Siku nyingine akizingua wewe kamshikie miguu kabisa shemeji yako...
 
Back
Top Bottom