Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Duhh hafu humu nkshapashtukia ukitanua tu mguu imekula Kwako unakuta kipapatio chako kinaeelea humu🤣
W nilimpa Tahadhari khs yule mpuuzi, sasa kama alienda kumpa khuma, dah itaniuma sana japokuwa sipo nae tena ila itanichoma sana 😔
 
Hv hua mnapata faida gani kuleta huu upuuzi humu.

H yote ni ili upate mademu wa kuwatomba humu baada ya kujifanya mmerudi Bongo au?

Seran kwani mademu wa JF mna utamu gani mpaka watu wanaamua kuwa hv?

View attachment 3623251
Kuna mwamba Paraboa mzee wa Uswizi alikuja kwa Kasi kama huyu jamaa tena alikuwa anaweka ushahidi konki kuwa yupo mambele akawakomba watu humu .

Kuna siku akajichanganya kidogo VAR ikasoma ni mgonga ulimbo hapo Kibaigwa akakimbia Jf mazima mpaka Leo hajarudi
 
Hata huyu nae atakimbia tuu, kwan JF wangapi walikuwa star humu na sasa wako wapi
 
Nipe email yako nifungue I'd nyngn then nipande pipa mpaka USA nianze kutuma picha kule selfika ili kuanza kuwachota mdogo mdogo, mpaka mje mshtuke nshawachakaza Sana 😂
Hiyo pesa ya kuvuruga ili ukatupigie sisi picha fanyia mambo zingine! katengeneza huko gemini, au kaibe insta na wewe!😆
 
Back
Top Bottom