Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Jf usiione hivi watu tunadhiki , Kuna uzi mmoja kwenye comments nilieleza jinsi nilikuwa nawapa watu pesa hovyo kuwakopesha kisa wananisaliti na nikaonyeshwa kuchukizwa na tabia hiyo , sikuamini nilifuatwa PM na watu kama wa 3 wakiniomba Msaada wakidhani Mimi Don kumbe nilifanya hivyo Zamani nilipokuwa na vihela kidogo tu ila roho ya huruma ikafanya niwasaidie wengine japokuwa sijajipata.
Dah wanyonge wapo wengi ila nenda kwenye ule uzi wa kushika bilioni utashangaa hawa madoni wametoka Wapi tena huku 😂
 
PM itawaka moto, inabidi uwe karibu na fire department 😂
Sijawahi kufutawa PM na manzi nina miaka karibia 10 Jf sasa nipo kibaharia , safari nataka nirudi kwa sifa napost vacation Germany .

Hapa Jf ukijiweka class fulani na ukawa na post za kushawishi upo matawi ya juu , mjuaji au romantic unawakomba PM , Kuna mwanangu juzi alisema alifuatwa na manzi PM wakabadilishana namba ila baada ya manzi kuona uhalisia wa mwamba maisha yake halisi na kwenye status sio kama alivyoImagine kutokana na anavyomuona Jf manzi kakimbia sasa hivi hata salamu hana 😂
 
Kuwa makini bro hapo Singapore, wanaume wanaongoza Kwa kubadili jinsia, Kuna Mmoja nilikutana nae stone town yani ni mshikaji sijui demu wanakua kama wachina unashindwa utambue ni jinsia gani, sasa wewe utaopoaa demu kumbe ndume ifike geto wakusukumie motooo kuwa makini usije sema hukuharifiwa, alafu nipe NAMBA zake nimchunguze takupa majibu kama ni ndume au mali safi Kwa heri kamanda
 
Sijawahi kufutawa PM na manzi nina miaka karibia 10 Jf sasa nipo kibaharia , safari nataka nirudi kwa sifa napost vacation Germany .

Hapa Jf ukijiweka class fulani na ukawa na post za kushawishi upo matawi ya juu , mjuaji au romantic unawakomba PM , Kuna mwanangu juzi alisema alifuata na manzi wakabadilishana namba baada ya ila manzi baada ya kuona uhalisia wa mwamba maisha yake halisi kwenye status sio kama alivyoImagine kutokana na anavyomuona Jf manzi kakimbia sasa hivi hata salamu hana 😂
Watu wanaosema wanawake wa JF n wabovu Naweza kuwaelewa, inawezakana anasema hvy mana ana I'd zake za kujilia khuma humu hvy anawajua wote
 
Sijawahi kufutawa PM na manzi nina miaka karibia 10 Jf sasa nipo kibaharia , safari nataka nirudi kwa sifa napost vacation Germany .

Hapa Jf ukijiweka class fulani na ukawa na post za kushawishi upo matawi ya juu , mjuaji au romantic unawakomba PM , Kuna mwanangu juzi alisema alifuatwa na manzi PM wakabadilishana namba ila baada ya manzi kuona uhalisia wa mwamba maisha yake halisi na kwenye status sio kama alivyoImagine kutokana na anavyomuona Jf manzi kakimbia sasa hivi hata salamu hana 😂
Mamas zenyewe za JF nzuri ni 3 tu na ni maarufu
Nyingine zote ni mbaya mbovu
Kuna moja nlibadilishana nayo namba kupokea videocall nkakutana na JANGILI
Wacha awe ananpigia kila mda had nkamchapa blok
Angel gani mbovu vile labda death angel
 
Back
Top Bottom