Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Sijawahi kufutawa PM na manzi nina miaka karibia 10 Jf sasa nipo kibaharia , safari nataka nirudi kwa sifa napost vacation Germany .

Hapa Jf ukijiweka class fulani na ukawa na post za kushawishi upo matawi ya juu , mjuaji au romantic unawakomba PM , Kuna mwanangu juzi alisema alifuatwa na manzi PM wakabadilishana namba ila baada ya manzi kuona uhalisia wa mwamba maisha yake halisi na kwenye status sio kama alivyoImagine kutokana na anavyomuona Jf manzi kakimbia sasa hivi hata salamu hana 😂
Sio mimi kweli huyu😂
 
Jf usiione hivi watu tunadhiki , Kuna uzi mmoja kwenye comments nilieleza jinsi nilikuwa nawapa watu pesa hovyo kuwakopesha halafu baadae wananisaliti wanakimbia na nikaonyeshwa kuchukizwa na tabia hiyo , sikuamini nilifuatwa PM na watu kama wa 3 wakiniomba Msaada wakidhani Mimi Don kumbe nilifanya hivyo Zamani nilipokuwa na vihela kidogo tu ila roho ya huruma ikafanya niwasaidie wengine japokuwa sijajipata.
Walikua jinsia gan waliokutafuta?
 
Matahira na Mabibi hakuna mtu mwenye akili timamu hata mmoja anaweza kuzingatia Nyangwisi kama wewe hata utoe hela kiasi gani
Hahahahahaaaaa kuna mbibi flani wa kizungu nilikuwa nampelekeaga moto wa hatarii akawa anapiga yowee balaa. Sasa kumbe kuna mzee flani wa kizungu single jirani kwenye apartments alikuwa anamaindi kichiz zile yowee. Siku moja uvumilivu ulimshinda nilipokuwa nampelekea moto huyo maza maana hilo yowe siku hiyo alikuwa yowee la kawaida. Mzee akaja kwenye mlango na kuubamiza mlango kwa fujo na jazba huku akitukana kwa sauti Fack you black man mara kadhaa. Nilimaindi kichiz badala amtukane huyo maza matusi yote kwangu.
 
Hamna shida uwe mzuri tuu
Hapo kwenye uzuri hapoo..

1783271867529.gif
 
Back
Top Bottom