Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

Walikua jinsia gan waliokutafuta?
Nadhani Me , hawakuja na ID maarufu zilikuwa ngeni .

Manzi nimewahi kumpata mmoja alikuja PM enzi hizo nimeshari mambo Fulani ya kimahusiano , nikamuepuka nikamwambia sijafikia levo za kutoa ushauri mambo mazito ambayo sijafikia na nikamwambia Mimi bado mtoto wa shule akashangaa sana kusikia ni kijana mdogo wa miaka 22 yeye alikuwa 32 . Tukaishia hivyo tukapotezana
 
Dawa ni kuwalomba boss
 
Back
Top Bottom