Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Tanganyika in the making slowly.

Itajulikana tu hakuna shida, katiba mpya itayatoa haya.
 

Iwe fundisho kwa wabongo, anayetutawala katoka Zanzibar ila huruhusiwi kwenda huko bila ID​

 

Kijana acha upotoshaji,mahakama haiwezi kukutambua bila barua ya serikali Yako ya mtaa,unafikiri serikali ya mtaa au Kijiji hazina kazi?

utambulisho wowote unaanzia huko,dhamana,mahakamani,nida pamoja na passport
 
Chogo mwenyewe.
 
Kijana acha upotoshaji,mahakama haiwezi kukutambua bila barua ya serikali Yako ya mtaa,unafikiri serikali ya mtaa au Kijiji hazina kazi?utambulisho wowote unaanzia huko,dhamana,mahakamani,nida pamoja na passport
Kaka,

Possibly hujawahi kutana na changamoto, Mimi nimepewa Barua Kisutu nikiwa na Picha ndogo.
 
Hiki kitambulisho,ni kwa ajili ya ajali,ikitokea,itambulikane ni nani na nani alikuwa kwenye meli au boti husika.

Hata wanzibari pia wanaulizwa,wageni pia wanaulizwa,sio Watanzania bara tu.

Kabla ya hapo ilikuwa unasafiri kwenda Zanzibar,bila kutakiwa kitambulisho,hii imekuja baada ya ajali kubwa na za kufariki watu wengi,katika meli au boti,zinazokwenda Zanzibar.
 
Kaka,

Possibly hujawahi kutana na changamoto, Mimi nimepewa Barua Kisutu nikiwa na Picha ndogo.
Ukifika Zanzibar huulizwi kitambulisho au barua yoyote,unaulizwa ukiwa kabla ya kusafiri huku dar.

Labda unaonekana sio mtanzania.

Au ulivofika ulipitia sehemu watalii wanapitia huko ndio kwenye mlolongo Kwa sababu sio raia was Tanzania.
 
Bado nafikiria sana, ni Bora itangazwe Kama nchi inayojitegemea bila huo wa ofisi ya VP
Kabla ya hapo,ilikuwa hakuna kutakiwa kitambulisho,ni baada ya ajali za meli na boti,kufariki watu wengi,

Ndio serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Waziri husika,kutangaza kutumika vitambulisho,ili ikitokea ajali,ijulikane,nani na nani waliokuweko ndani ya boat au meli,kupitia vitambulisho vya Taifa.
 
Ukifika Zanzibar huulizwi kitambulisho au barua yoyote,unaulizwa ukiwa kabla ya kusafiri huku dar. Labda unaonekana sio mtanzania. Au ulivofika ulipitia sehemu watalii wanapitia huko ndio kwenye mlolongo Kwa sababu sio raia was Tanzania.
Pote pote wanauliza,
 
Reactions: Qwy
Hii ya Vitambulisho ni amri kutoka,kwa Waziri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,baada ya kutokea ajali,iliyoua Watu wengi

Hiki kitambulisho,ndio kitathibitisha,aliyefariki,ni nani,na picha yake ipo,na anatokea mkoa gani.

Kwa wanaosafiri kwenda Zanzibar,wapo wanaotoka mikoani,kama Morogoro,Mbeya,Tanga,Arusha,Moshi nk


Hiki kitambulisho ni kwa wote,haaingalii ni Mzanzibari au mtanzania bara.
 
Kama ndo ivo nioneshe picha ya pesa, gwanda za jeshi lao,hati yao y kusafiria. Tuanzie hapo kwanza
Hivi vitambulisho ni kwa yoyote anayepanda meli au boat,kwenda Zanzibar,bila kuangalia ni Mzanzibari au mtanzania bara au mgeni kutoka nje.

Ni kutokana na ajali,ikitokea,na ukafariki,kuwe rahisi,kujulikana,unatokea wapi,na jina lako,na picha yako,inakuwepo.
 
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar , waendelee kulinda nchi yao dhidi ya mamluki wa Tanganyika
Hiki kitambulisho,ni amri kutoka Waziri wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni baada ya ajali,ya meli,iliyoua Watu wengi,wapo watu walikosa maiti zao,kwa kushindwa kuzitambua,angalau,wangekuwa na vitambulisho,mifukoni wangetambulika kiurahisi,kwamba yumo katika chombo kilichopata ajali,wapo wanaosafiri bila kuaga mwakwao,kama huyo anayesema,alipata dharura,ujuwe hakuaga huyo.

Kitambulisho ni muhimu,popote ulipo,uwe nacho,mleta mada,ndio wakulaumiwa,kutembea bila kitambulisho.
 
Na bado hao watu wa visiwani wanakuja huku tanganyika wanapewa madaraka
Hivyo vitambulisho,ni kwa ajili ya ajali,ili ikitokea,kama umefariki,ijulikane ni mtu wa wapi,jina lako,picha yako.

Iwe rahisi kwa ndugu zako,kufuatilia maiti au majeruhi.

Sio vitambulisho kama passport,ya kuingia nchi nyingine.Bebeni vitambulisho kokote,ajali inaweza kutokea mda wowote.


Vitambulisho,vimeanza kutumika,baada ya ajali ya meli,iliyoua watu wengi,wengine walikosa maiti zao,bila kujuwa kama ndugu,au jamaa ,alipanda hiyo meli kama mleta uzi,nina uhakika hakuaga kwake au kwao,ndio akasema alipata dharura ya ghafla.
 
Hizo ni sababu za kitoto tumia kuwadanganya wenzako

Hayo majitu ya visiwani ni mabaguzi hayana tofauti na shwetan

Mbona wao wakiwa wanakuja tanganyika hawapewi usumbufu km watanganyika wakiwa wanaenda uko kwenu


 
Wenye kujua kusema watakuambia haya ni mambo ya 666 "New Order" ya kina Bill Gates
 
Hizi meli,zinapanda Watu wengi sana,zinapanda,wazanzibari,watanzania bara,wageni wa nchi mbalimbali,kutoka Burundi,Uganda,Zambia,Malawi,wa nchi za nje,India,Arabuni,Ulaya nk.Na hata Tanzania wanatoka mikoani,Arusha,Moshi,Mbeya,Tanga,Mwanza,Nk,ikitokea ajal,kukiwa na kitambulisho,ni rahisi kutambua waliofariki ni kina nani,wanatokea wapi,na picha pia ipo.Ni baada ya ajali,iliyouawa Watu wengi,Ndio Waziri,mwenye dhamana,wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akatangaza kutumika vitambulisho.
 
Kijana acha upotoshaji,mahakama haiwezi kukutambua bila barua ya serikali Yako ya mtaa,unafikiri serikali ya mtaa au Kijiji hazina kazi?utambulisho wowote unaanzia huko,dhamana,mahakamani,nida pamoja na passport
Achana naye huyo. Wewe huoni katika wasafiri wote yeye ndiye ameonekana ana shida na tena ni suala la uelewa tu.

Halafu tatizo lenyewe dogo kaja kulianziashia mada!!!

Kama kawaida wafuata upepo a.k.a wazee wa kudemka nao wanaicheza ngoma!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…