mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 509
Kuna tatizo hapo, labda tuseme la kiufundi zaidi ila nahisi ni la watendaji (mmoja kakataa kata kata namba ya NIDA, mwengine kaikubali, naona hapa changamoto wafanyakazi na si mfumo).Kaka,
Kuna Id ya NIDA Kama kitambulisho hard copy na Kuna namba za Nida,zote zinasolve matatizo,
Dar walikataa Namba ya NIDA, Ila zanzbar waliikubali, zanzbar walikataa Barua ya Kisutu,bara wakakubali Barua ya kisutu
Wasalimie huko Mchambawima