Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Soma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Acheni kuchochea vitu ambavyo havipo
 
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Halafu eti Nyerere huwa anasifiwaga
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Tatizo hawana jeshi hapo ndo kunafanya isiwe nchi kamili.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
@Kikwajuni One kasema sahihi, kote kote unaulizwa hata ukienda tiketi ya meliupande wa zenji lazima uulizwe kitambulisho, unless uwe unapanda haya majahazi hayo ndio hamna hizo mambo.
Huo ndio ukweli,kote kote unatakiwa kitambulisho,ukitoka Zanzibar kuja Dar na ukitoka Dar kwenda Zanzibar.Hii ni kwa ajili ya ajali,ikitokea ajali,watambulike,waliopata ajali ni kina nani,majina yao,wanakotoka,na Picha zao.
 
Ukimaliza hapo, nenda kajifunze muungano wa Chechnya ndani ya Urusi, Toka Tena ukajifunze Nafasi ya Buryat ndani ya Urusi.

Halafu huje hapa ukiwa na akili timamu.
Ukishazinduka kutoka usingizini unakoota ndoto za Urusi amka ukakojoe so that you face the realities on the ground, the painful realities that affect your daily life si huo upuuzi wa Urusi usio na impact yoyote katika maisha unayohangaika nayo kila uchwao.
 
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Machogo ndio nini?
 
Acha utani
Hajitambui huyo, kuna watu wanajaribu kulazimisha vitu visivyo sawa vidhaniwe viko sawa kwakuwa tu wao wanafaidika navyo.
Kila mtu 'mwenye akili timamu' anajua huu muungano hauko sawa na panapaswa kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu aina ya muundo wa muungano utakaokublika na majority, tatizo or let me say vikwazo ni wale wanaofaidika na muundo huu na wale wanaoona kwenda kinyume na 'format' ya late Kambarage ni kumkosea, kuua legacy yake na 'uasi' kwa fikra 'sahihi' za baba wa taifa.
 
Fika Mchamba wima, Makunduchi au Wete then usikilizie utaitwa jina gani then uje utupe mrejesho.
Majitu meusi sijui vichwani tuna nini, watu wenye akili timamu kima Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Mandela walipambana kutuunganisha watu weusi tuwe kitu kimoja alafu mnakuja kuibuka wasengerema wachache weusi mnabaguana kwa sababu za kitoto. Ma-watu meusi kweli hatu dhaminiki
 
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Wewe ni mwongo, tena asiyejua kusema uongo!
1. Haya uliyoeleza hapa, ulifanyiwa wewe pekee mtu wa bara unayekwenda visiwani au hata wasafiri wengine waliulizwa kuonyesha vitambulisho?
Kwa nini unataka wabadili utaratibu wao kwa ajili yako pekee; na unajuwaje kuwa msafiri toka visiwani asingetakiwa kufanyiwa kama ulivyofanyiwa wewe.

2.
Unakwenda mahakamani, na mara moja bila shida kabisa unapewa barua, wewe ni nani? Ni mfanya kazi wa ofisi hiyo ya mahakama. Kwa nini badala ya kupoteza muda kwenda mahakamani hukwenda kuchukua kitambulisho chako ulipokisahau?

3. Ni nini kinachokupa msukumo wa kulalamikia Zanzibar, na usilalamikie watendaji waliokutaka ufuate taratibu zilizowekwa. Ulikuwa na uhakika gani kwamba hao watendaji walikuwa wanafanya maagizo waliyopewa katika kuwabagua watu wa bara na sio kwamba ni ukiritimba tu ulioenea katika maofisi yote Bara na Visiwani.

4. Lengo lako kwenye mada hii ni nini? Naona mada yako imeteka kundi kwelikweli, hadi sasa imefikia kurasa zaidi ya sita. Wengi wa wachangiaji wako wamerukia tu bila ya kufikiria mara mbilmbili baada ya kusoma kichwa cha mada yako, ambacho hakina uhusiano wowote na habari uliyoandika chini yake.

Tuache kuivuruga nchi yetu kwa mambo rahisi rahisi kama hili. Yapo mambo mazito zaidi ya hili yanayotakiwa kujadiliwa kuleta utengamano ndani ya taifa letu.
 
Sijui atatokea wapi kiongozi atakaye tutoa tongotongo katika haya.mambo ya ajabu ajabu

Mbona hawa wenzetu tokea Znz wana enjoy life sanaa hapa main land,
viongozi ifike pahalaa watambue sasa ivi upande wa Tanganyika watu tuna maswali kwao ya wana tukimbia kutujibu
 
Tanganyika iko wapi? Mbona siioni kwenye ramani au Google maps?
 
Majitu meusi sijui vichwani tuna nini, watu wenye akili timamu kima Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Mandela walipambana kutuunganisha watu weusi tuwe kitu kimoja alafu mnakuja kuibuka wasengerema wachache weusi mnabaguana kwa sababu za kitoto. Ma-watu meusi kweli hatu dhaminiki
Msengerema ni wewe, baba yako mzazi na mama yako mzazi.
Marcus Garvey na Kwame Nkrumah uliwahi kuwaona au kuwasikia personally? Na wanaolalamika kuwa Mandela aliwageuka blacks akawa sellout una nini cha kuwajibu?
It's so low ku-panic na kuanza kutukana watu usiowajua kwa sababu tu maoni yao hayawiani na ya kwako.
 
Mshamba wewe f...uc.,kin w,hore
 
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Machogo wajinga sana, ila mi babaako ni Chogo pia halafu we mwana utakua nani?
CHOGO
endeleeni kukuna pumbu,siku muungano ukiisha nyie ******* tutawapokea km wakimbizi toka ethiopia.
Hamna chochote hapo zaidi ya bahari.
Ndo mana mnakufa kwa kufakamia makobe yenye sumu
 
Una-panic kitu gani Chogo, oops first kuna mtu kaku-point kuwa wewe ni chogo au ndiyo umeamua kujibatiza?
Secondly vipi ikigeuka wewe ndiyo ukawa mkimbizi ukapokelewa kama mkimbizi kutoka Burundi.
Last but not least unajuaje upande wa this so called 'jamuhuri' nitokeapo mimi?
 
Machogo tunawapakata na kuwalisha nyie wala tende.
Na hamchomoki si tuwapakata tu.
Basha wenu Dubai hayupo
Tutawapakata tu
 
Kama ndo ivo nioneshe picha ya pesa, gwanda za jeshi lao,hati yao y kusafiria. Tuanzie hapo kwanza
Kwahiyo basi Tanganyika inatawaliwa na Zanzibar. Maana Tanganyika haina vitu vyote hivyo ulivyovitaja, hivyo ni vya Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Katiba mbili tofauti kwenye nchi mbili tofauti kwenye Muungano tofauti.
Muungano wenye tafsiri mbili tofauti kwa wananchi wa nchi mbili tofauti.

Jawabu ni katiba Mpya ya Wananchi wote na sio Tume ya makada wachache wa vyama vya siasa inayotumalizia pesa za mikopo na tozo Kwa mijadala na maoni ya walioshiba na kulewa madaraka.
 
Back
Top Bottom