Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF
Hongera sana Muhenga, Idumu JF
 
Moderator hivi mna utaratibu wa kuhesabu idadi ya ban mtu alizopigwa? Mtu kama mleta mada unaweza kuta hajawahi pigwa ban katika miaka 15. Kunaweza kuwa na utaratibu wa kuwatambua member wenye nidhamu.
Hahahaha Mpwa niliwahi kula Ban kadhaa ila chache sana, huenda Nina nidhamu hahahaah
 
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Umekula chumvi mkuu...hongera
 
No mkuu usiogope comments za dot.com kuhusu umri, kuwa na good innings lazima uwe proud na mshukuru Mwenyezi Mungu, wengi dot. Com hawafiki 30yrs to 45 yes kisa ni bad life style, na uzuzu wa kutake risks za kimaisha, ishi na relax mkuu wangu na endelea kupambana
Amen, Asante kwa maneno mazito! Shukrani
 
Back
Top Bottom