Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Hongera sana Muhenga, Idumu JF
 
Moderator hivi mna utaratibu wa kuhesabu idadi ya ban mtu alizopigwa? Mtu kama mleta mada unaweza kuta hajawahi pigwa ban katika miaka 15. Kunaweza kuwa na utaratibu wa kuwatambua member wenye nidhamu.
Hahahaha Mpwa niliwahi kula Ban kadhaa ila chache sana, huenda Nina nidhamu hahahaah
 
Umekula chumvi mkuu...hongera
 
Amen, Asante kwa maneno mazito! Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…