Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Maisha nikujaribu, ukiona mkoa fulani hauna mishe unahama.
Siri ya kutoboa, jifunze kuchangamana na vijana wenzako. Hata km nikijiweni vijana wanakaa, kaa nao, muulize hata mpangaji wako mishe zinakwendaje?
Maisha ni kama umepanda mti vile, leo umepanda mbegu unategemea kesho uote, keshokutwa uanze kuchuma matunda. Hiyo big No
Hangaika kila kona ambako unaona kuna fursa ya kupata pesa
 
nakubali mkuu
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Mtafute rafiki yako wa karibu akushike moyo , inawezekana umekufa hawakwambii tu
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
"Being educated does not guarantee you a success in a real life"-(R.I.P Dr.Chungu).
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.

Haya Maisha wala yasikusumbue, binafsi nilikua kwa shangazi yangu nakula ugali wa shikamoo mpaka nilipotiza miaka 35, ukifikiria umri unachanganyikiwa. Nilikua hapo nikiwa sina mbele wa nyuma, Maisha magumu na hata hela ya vocha sina. Siku niliyofanikiwa kupata chanzo cha kipato nilishukuru sana japo nilichelewa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuanzisha familia ila nashukru mungu sasa ninasonga mbele. Ninachokuambia kazi buti, usiogope kukaa kwa ndugu na wala usiogope umri japo nichangamoto, epuka wizi, unywaji wa pombe, umalaya na tabia za kishenzi maana hujui kesho yako
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.

Mkuu hata kuuza mihogo usiku, mitumba mchana, kutengeneza sabuni. Kuwa dalali wa Nyumba, magari kumekushinda?

Vingine ni uwezo wako tu kuongea, kujiamini.
 
Yeah,ushauri mzuri ila asibweteke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…